quarta-feira, 8 de abril de 2015

Vodacom Premier League - Tanzania - Ligi kuu Bara

Resultado de imagem para vodafone premier league TANZANIA  Resultado de imagem para BANDEIRA TANZANIA

Matokeo ligi kuu Tanzania Bara
Yanga Sc 8 - 0 Coastal Union Fc
Azam Fc 1 - 1 Mbeya City
Timu ya Yanga Sc imeifunga timu kutoka jijini Tanga ya Coastal Union kwa magoli 8 - 0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni ya leo.
1 - 0 Amisi Tambwe alifungua ushindi huo kwa goli la mapema.
2 - 0 Simon Msuva akaongeza goli la pili na kuwachanganya wageni.
3 - 0 Tambwe tena aliwaongeza la tatu na kwenda mapumzikoni na furaha
4 - 0 Amisi Tambwe akapiga goli la tatu ( hat-trick)kwa goli la dakika ya 49 kipindi cha pili.
5 - 0 Kpah Sherman alifumania nyavu za Coastal kwa goli la dakika ya 50.
6 - 0 Simon Msuva akapiga goli la sita likiwa ni la pili kwa mchezo wa leo dakika ya 86.
7 - 0 Salum Telela akapiga msumali kwa goli la saba dakika ya 88 na kuwashangaza mashabiki waliosafiri kutoka Tanga.
8 - 0 Amisi Tambwe alimaliza hasira zake kwa goli la nne dakika ya 90 ya mchezo na kumfunga mdomo kocha mwenye maneno mengi Jamhuri Kihwelo'Julio'.
shea, like, comment



Standings

RnkTeamMPWDLGFGA+/-Pts
1Young Africans20134336112543
2Azam19107226131337
3Simba SC2198427151235
4Kagera Sugar217771920-128
5Mgambo JKT208391719-227
6Ruvu Shooting216871418-426
7Mbeya City2151061618-225
8JKT Ruvu216691620-424
9Ndanda216691824-624
10Stand United206681723-624
11Coastal Union225981423-924
12Mtibwa Sugar205871921-223
13Polisi Morogoro214981321-821
14Tanzania Prisons2031161420-620

Nenhum comentário:

Postar um comentário